Alvaro Negredo
Timu Taifa ya Hispania imeweza kupata ushindi wa 6-0 dhidi ya Liechtenstein.
David Villa aliingia wavuni mara mbili, Negredo naye akapiga bao mbili, huku Xavi na Sergio Ramos wakifunga goli moja moja.
Kwa ushindi huo Kikosi hicho cha Vicente Del Bosque, kimeweza fanikiwa kukata tiketi ya kushiriki michuano ya Kombe la mataifa ya Ulaya, waikiwa wamejikusanyia pointi 18 kutokana na mechi 6 walizocheza, wakifatiwa na Czech Republic kwenye nafasi ya pili.
33′ Negredo
37′ Negredo
44′ Xavi
52′ Sergio Ramos
60′ David Villa
79′ David Villa
No comments:
Post a Comment